Mto Ruipa ni mto wa Tanzania, tawimto la mto Kilombero, unaotiririka hadi kuungana na mto Luwegu kuunda mto Rufiji ambao unaishia katika Bahari Hindi.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri