Mto Songora ni kati ya mito ya mkoa wa Arusha (Tanzania kaskazini).

Maji yake yanaelekea Bahari ya Hindi kupitia mto Pangani.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri