Mto Jur

(Elekezwa kutoka Mto Sue)

Mto Jur (pia: Sue) unapatikana Sudan Kusini na una urefu wa kilometa 485.

Unaishia katika Mto Bahr al-Ghazal, tawimto kuu la Nile.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri