Mto Tennessee ni tawimto mrefu wa mto Ohio nchini Marekani. Chanzo chake kipo mjini Knoxville ambako mito miwili midogo zaidi inaungana. Mwendo wake hupita sehemu za jimbo la Tennessee kabla ya kuingia katika jimbo la Alabama. Baadaye inarudi Tennessee hadi kuingia Kentucky inapoishia katika mto Ohio karibu na mji wa Paducah.

Mto Tennessee
Mto Tennessee
Mto Tennessee katika majimbo la Tennessee,Alabama na Kentucky
Chanzo Maungano ya mito French Broad River na Holston River mjini Knoxville
Mdomo Mto Ohio mjini Paducah
Nchi Marekani
Urefu 1,049 km
Kimo cha chanzo 240 m
Tawimito French Broad River na Holston River
Mkondo 2,000 m³/s
Eneo la beseni 105,870 km²
Miji mikubwa kando lake Knoxville, Chattanooga, Huntsville

Kuna milambo mbalimbali kwenye njia ya mto inayosimamiwa na mamlaka ya Tennessee Valley Authority.

Viungo vya nje hariri


  Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Tennessee kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.