Mto Thiririka

Mto Thiririka unapatikana katika kaunti ya Kiambu, katikati ya Kenya.

Maji yake yanaishia katika mto Athi-Galana-Sabaki na hatimaye katika Bahari Hindi.

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

Viungo vya njeEdit