Mto Tigiti
Mto Tigiti ni mto wa mkoa wa Mara (Tanzania kaskazini) ambao maji yake yanaingia katika ziwa Viktoria na hatimaye yanaelekea Bahari ya Kati kupitia mto Naili.
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Tigiti kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |