Mto Wasa (Uganda) unapatikana katika wilaya ya Ntoroko, magharibi mwa Uganda.

Maji yake yanaishia katika ziwa Albert, mto Naili na hatimaye katika Bahari ya Kati.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri