Mto Zara unapatikana Eritrea na ni tawimto la mto Anseba, ambao unachangia mto Barka ambao huishia katika Bahari ya Shamu.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri