shule ninayosoma
shati ninayoipenda

shati ni nguo inayo valiwa sehemu ya juu ya mwili kwaahjili ya sitili mwili na huvaliwa nchi mbalimbali bila kujali ni maskini au tajiri

mfano marekani,tanzania,uingereza,kenya,BURUNDI nk

pia mashati huvaliwa mashuleni kama sare ya shule na hata matuisheni na sehemu mbalimbali