lugha
sw Mtumiaji huyu ni mwongeaji wa Kiswahili Fasaha.
KWC Mtumiaji huyu ni mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Nairobi.
KWC Mtumiaji huyu ni mshiriki katika Shindano la Wikipedia ya Kiswahili la 2009.   (Submissions)
Ninaitwa Bosco.Ninaishi sehemu ya Embakasi katika jiji la Nairobi nchini kenya.Mimi ni mwanafunzi katika chuo kikuu cha nairobi.Nasomea sayansi ya tarakilishi.Naonelea ni vyema kuimarisha na kutukuza lugha yetu ya kiswahili kupitia mtandao.