Haki za binadamu na michezo ya vijana
Haki za binadmu na michezo ya vijana, michezo ni shughuli zinazohusisha nguvu na ujuzi wa kimwili ,ambapo timu hushindana dhidi ya nyingine kama aina ya burudani.[1] Ulimwengu wa kimichezo unaruhusu michezo kuhusisha haki tofauti. Matukio mengi ya kimichezo yanamchango mkubwa katika haki za binadamu. Haki za binadamu ni haki ambazo zinaaminika kuwa na uhalali wa kumilikiwa na kila mtu.
Hasa michezo ya vijana ambayo huusisha haki za watoto. Mazoezi ya michezo yanamanufaa kwa watoto kwani yanaweza kuwa na matokeo chanya kwa ujuzi wao wa kimwili, kiakili, kisaikolojia na maendeleo ya kijamii. Michezo inasaidia katika maudhui ya haki za binadamu kwani huhamashisha muingiliano wa watoto kutoka katika historia tofauti za kitamaduni na kiuchumi,hasa kwa wale wenye ulemavu mbalimbali na kusaidia kudumisha usawa wa kijinsia.[2]
Marejeo
hariri- ↑ "Definition of SPORT". www.merriam-webster.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-11-26.
- ↑ David, Paulo (2004-11-10). "Human Rights in Youth Sport". doi:10.4324/9780203511039.
{{cite journal}}
: Cite journal requires|journal=
(help)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Haki za binadamu na michezo ya vijana kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |