MALARIA Malaria ni ugonjwa hatari huambukwizao na mbu jike aitwae anoferensi . Mbu huzaliana kutokana na jinsi ya utunzaji wa mazingira yenu popote pale palipo na nyasi ndefu au madimbwi ya maji yaliyotuama hapo mbu huweza kuzaliana ili tuweze kuepukana na ugonjwa huo nilazima kufuata taratibuzote za utunzaji wa mazingira yetu

Mbu anayeeneza malaria

Pia tunaweza kujikinga na malaria kwa kulala ndani ya chandalua kilichowekwa dawa.Malaria ni ugonjwa unaotibika dalili zake ni kama kuumwa na kichwa, lakini kwa sasa nyakati zimebadilika sio kila homa ni malaria kwahio ni lazima kenda hospitari ukapime.kuna dawa nyingi za malaria ni kama kwinini,mseto na duo.jua kuwa matumizi mazuli ya dawa ndiyo yawezayo kukuweka wewe vizuri kwasababu malaria ni ugonjwa hatari kwahiyo kumaliza dozi ni muhimu sana.

NYANGUMI hariri

 
Nyangumi mama na mtoto wake

Nyangumi ni aina mojawapo ya wanyama, ni mnyama mkubwa kuliko wote duniani.

Mnyama huyu yupo katika kundi la wanyama wanaokaa baharini.Ni mnyama anaye

kaa katika maji matamu.Nyangumi ni mnyama aliyefanana na samaki.