Children and Youth International, awali Rio+twenties, ni shirika lisilo la kiserikali linaloongozwa na vijana na la kujitolea kuwawezesha vijana lenye makao yake makuu mijini Brussels, Ubelgiji, New York, Marekani na Brighton, Uingereza. Lengo lake ilikuwa ni "kujenga uwezo na kuwawezesha vijana na miundo ya uwakilishi wao kushiriki kikamilifu katika michakato ya maandalizi ya mkutano wa Umoja wa Mataifa wa maendeleo endelevu huko Rio mwaka wa 2012 (Rio+20)".[1]

Ilianzishwa na Ben Vanpeperstraete, Ivana Savic, Michaela Hogenboom, Pieter-Jan Van De Velde, Felix Beck, Brendan Coolsaet, Sébastien Duyck kwa kuhusika na baadaye uongozi wa Lloyd Russell-Moyle ambaye baadaye alikuja kuwa mbunge. Shirika pia linatumika kama mmoja wawashirika wa Major Group for Children and Youth la mkutano wa umoja wa mataifa maendeleo endelevu.[2] Ushiriki asili yake katika kingereza ulitafsiriwa katika lugha nyingine nne rasmi za umoja wa mataifa na kupatikana kupitia tovuti ya shirika.

Marejeo

hariri
  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-12-07. Iliwekwa mnamo 2022-11-26.
  2. http://www.uncsd2012.org/rio20/index.php?menu=98