Mtumiaji:Dee Soulza/ukurasa wa majaribio

Reuters

hariri
 
Reuters London

Reuters ni shirika la habari linalomilikiwa na Thomas Reuters[1] Shirika hili linaajiri waandishi wa habari takriban 2500 na wapiga picha habari wapatao 600 waliosambazwa kwenye vituo 200 katika maeneo mbalimbali ya dunia na kuripoti katika lugha 16 tofauti.[2] Reuters ni moja ya vyombo vya habari vikubwa na vinavyoaminiwa sana ulimwenguni.[3]

  1. "Thomson Reuters | History & Facts | Britannica.com". web.archive.org. 2018-11-07. Iliwekwa mnamo 2024-10-09.
  2. Reuters
  3. Reuters