Karibu katika ukurasa wangu,jina langu ni Aika Masawe ni mwanafunzi katika chuo kikuu Mzumbe,ni mhariri wa kujitolea katoka kundi la wahariri wa wikipedia nchini Tanzania,najihusisha na maswala ya techonolojia.