Mtumiaji:Jamessmiller1985/Shelby Fero

Fero mwaka wa 2012

Shelby Ann Fero (alizaliwa Oktoba 27, 1993) ni mwandishi wa Kimarekani na mchekeshaji.

Maisha ya awali hariri

Fero alizaliwa kwenye Hospitali ya Stanford mwezi wa Oktoba 27, 1993. Baada ya kuhitimu kutoka Shule ya Upili ya Menlo-Atherton, alihudhuria Shule ya USC ya Sanaa za Sinema kabla ya kuondoka kwenda kusomea taaluma ya vichekesho.

Tovuti zingine hariri

  • Shelby Fero kwenye IMDb

[[Jamii:Watu walio hai]] [[Jamii:Waliozaliwa 1993]]