Kelvin Mlay ni kijana mwenye vibaji vingi anaweza kutagaza mpira kwa ufanisi wa hali ya juu pia anaweza kuiga sauti za watu maarufu kama vili Baraka mpenja ambae ni mtangazaji wa kituo cha michezo cha AZAM TV, na mwenzake James Samwel, pia Kelvin Mlay ana uwezo wa kuuchambua mpira, Ni mshabiki mkubwa wa Simba sport club ya Tanzania na manchester united ya uingereza pia ni muandishi na mboreshaji wa makala za Wikipedia Arusha.