Mtumiaji:Kipala/Trial Cote

Ukurasa wa majiribio kwa ajili ya makala za vitengo vya Cote d'Ivoire

Use list Orodha ya majimbo ya Cote d'Ivoire and create stubs for departement (wilaya). It would be good to add the mkoa (region) behind each wilaya.

Abengourou (wilaya)

Wilaya ya Abengourou (far.: departement de Abengourou) ni moja kati ya wilaya 3 za Mkoa wa Moyen-Comoe nchini Cote d'Ivoire.

Iko katika magharibi ya nchi. Mwaka 1998 idadi ya wakazi ilikuwa watu 288.211. [1]

Makao makuu yako Abengourou.


MarejeoEdit

  1. Namba za sensa ya mwaka 1998 kufuatana na [1]