Mtumiaji:LeonaRIC LesaBIRD/Freideutsche Jugend

Freideutsche Jugend alikuwa mwanvuli wa taasisi iliyoanzishwa ndani ya Wilhelmine huko Ujerumani ambayo ilitengeneza uwezo wa kujitawala kwa utamaduni wa vijana kuwa na uhuru kutoka kwa malezi ya watu wazima.[1] ilikuwa ni sehemu kubwa ya maandamano kwa vijana wa Ujerumani, iliyoanzia kutoka Wandervogel.

Chimbuko

hariri

Taasisi ilitengenezwa na kusanyiko lililokuwepo kwenye Hoher Meissner, kwenye mlima wa Hesse, ambapo mamia ya wengi walikusanyika mwaka 1913 na kutengeneza matangazo ya Meissner.

Marejeo

hariri
  1. Williams, John Alexander (2001). "Ecstasies of the Young: Sexuality, the Youth Movement, and Moral Panic in Germany on the Eve of the First World War". Central European History. 34 (2): 163–189. ISSN 0008-9389.