Mtumiaji:LikamboisaacK/Mr Lengs

Mr.Lengs ambaye majina yake halisi ni Alfred Lengo ni Msanii kutoka Sudan Kusini aliyeshinda tuzo nyingi katika mji mkuu wa Juba, Sudan Kusini [1] [2]

  Mr Lengs alianza safari yake ya muziki mwaka wa 2005 alipokuwa Uganda na kurekodi nyimbo kadhaa zilizovuma sana ambazo zilimsaidia katika tasnia ya muziki ya Sudan Kusini.

  1. "Entertainment: Mr Lengs awarded Overall Artiste of the Year". Eye Radio (kwa en-US). 2015-01-26. Iliwekwa mnamo 2022-12-06. 
  2. "MR LENGS | THE HIT MAKER WITH NO HIT SONGS IN YEARS". Shabab Magazine (kwa en-US). 2020-05-15. Iliwekwa mnamo 2022-12-06. 

[[Jamii:Watu walio hai]]