Mtumiaji:Salehe Adinan/Leslie Gabriel

Leslie Gabriel (amezaliwa Circa mnamo mwaka 1977) na ni kocha wa kimarekani wa mpira wa wavu

Tangu 2001, amehudumu kama mkufunzi mkuu mshiriki na mratibu wa uandikishaji wa timu ya mchezo wa wavu ya wanawake ya Chuo Kikuu cha Washington. Mbali na kusaidia makocha wakuu Jim McLaughlin na Keegan Cook kwa majukumu yote ya usimamizi, Gabriel anafanya kazi nawapangaji wa timu na walinzi wa timu.

Gabriel alikuwa wa barua ya amiaka minne ambae alianza kwa ajili ya Huskies kuanzia 1995 mpaka 1998

MAREJEO

hariri