Husseyn Issa
Imejiunga 31 Oktoba 2020
(Elekezwa kutoka Mtumiaji:SmokeR)
Habari, Kwa majina naitwa Hussein Issa ni kijana wa Kitanzania, mhariri wa kujitolea katika kundi la wahariri wa Wikipedia nchini Tanzania,Mbunge wa Bunge la vijana Afrika Mashariki, Pia ni Mwanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma nikisomea Shahada ya Sayansi Ya Uhandisi wa Mitandao ya Kompyuta na Usalama wa Taarifa. Napenda kujifunza kila siku kuhusu mabadiliko ya sayansi ya Teknolojia nchini na Duniani kwa ujumla.