Mungu aliyeziumba mbingu na nchi na awabariki kwa kazi nzuri na njema za kutumia kiswahili kama lugha mojawapo katika wikipedia. Mbarikiwe sana.

Asante ndugu. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 12:23, 27 Machi 2015 (UTC)


[[Jamii:]]Tunajifunza nini kwa vyama vya siasa ambavyo vipo madarakani na inapotokea uchagguzi mkuu vyama hivyo upoteza nafasi na vyama vya upinzani kuchukua hatamu. mfano:Nigeria. Na kwa Tanzania ambayo inajaribu kukuza demokrasia na usawa. Tunatemea nini kwa uchaguzi mkuu wa mwaka huu Octoba 2015?--TELESPHORY (majadiliano) 14:27, 1 Aprili 2015 (UTC)