my mercedes banse
the sherpherd
white water world
STEVENS

mimi ni kijana wa kitanzania katika shule secondari alfagems ni mkazi wa dar es salaam masaki nilizaliwa 28 april 1998 ninapenda sana geography nilisoma shule ya msingi drive inn iliyopo dar es salaam msasani karibu na ubalozi wa marekani.nilimaliza darasa la saba mwaka 2011 na kuaanza elimu ya sekondari mwaka 2012 nikahitimu kidato cha nne mwaka 2015 hivi sasa niko kidato cha sita.mimi nina penda kucheza mpira wa mikono,na pia napenda michezo mingine kama kukimbia,kuogelea na kuruka kamba. hii ni michezo inayofanya mwili wangu kuwa na nguvu na uchangamfu