Muawiya
ukarasa wa maana wa Wikimedia
Muawiya (pia: Umayyad, Omayyad) ni jina la Kiarabu. Linaweza kumaanisha
- mara nyingi Muawiya I (Muawiya ibn Abu Sufyan) aliyekuwa khalifa wa Uislamu kati ya 661 hadi 680
- nasaba ya Wamuawiya lililoanzishwa na Muawiya I na kutawala nchi za Waislamu hadi mwaka 750; baadaye walitawala Hispania pekee hadi mwaka 1031.