Mukono

(Elekezwa kutoka Mukono Town)


Mukono ni mji mkuu wa Wilaya ya Mukono nchini Uganda. Una wakazi takribani 161,996 (sensa ya mwaka 2014[1]).

Jiji la Mukono
Jiji la Mukono is located in Uganda
Jiji la Mukono
Jiji la Mukono

Mahali pa mji wa Mukono katika Uganda

Majiranukta: 00°21′12″N 32°45′19″E / 0.35333°N 32.75528°E / 0.35333; 32.75528
Nchi Uganda
Mkoa Kati
Wilaya Mukono
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 161,996
Makutano ya Barabara katika Mji wa Mukono

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu: