Muziki wa Reunion
(Elekezwa kutoka Music of Réunion)
Muziki wa Reunion unaonyesha athira ya tamaduni mbalimbali zilizokutana kwenye visiwa hivi vya Bahari Hindi. Urithi wa Afrika Bara unasikika hasa katika muziki wa Maloya ulioendeeza urithi wa watumwa Waafrika waliopelekwa hapa.
Katika mtindo wa Sega athira za Afrika zimekutana na zile kutoka Ufaransa maana Réunion ilikuwa koloni na sasa ni mkoa wa ng'ambo wa Ufaransa.
Mitindo mipya ni pamoja na Jazz, Rock, Rap, Reggae, Dancehall na Ragga.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu "Muziki wa Reunion" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema. |