Musola Cathrine Kaseketi
Mtengeneza filamu wa Zambia
Musola Cathrine Kaseketi (1968) ni mtengenezaji wa filamu kutoka Zambia na mwanaharakati wa haki za binadamu.Kaseketi ni mkurugenzi wa kwanza wa kike wa filamu nchini Zambia.[1]
Marejeo
hariri- ↑ Edine, Nicole (25 Machi 2014). "9 Women Who Are Taking The Lead In Places Where Men Rule". Huffington Post. Iliwekwa mnamo 11 Machi 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Musola Cathrine Kaseketi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |