Mussa Bakari Mbarouk

Mussa Bakari Mbarouk ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CUF. Amechaguliwa kuwa mwakilishi wa wananchi kwenye bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Alichaguliwa 2015 ikiwa ni mbunge wa kwanza kupitia upinzani kuongoza Tanga mjini tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi nchini Tanzania.

Viungo vya nje hariri