Mustafa Mkulo

(Elekezwa kutoka Mustafa Haidi Mkulo)

Mustafa Haidi Mkulo (amezaliwa tar. 26 Septemba 1946) ni mbunge wa jimbo la Kilosa katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Mkulo

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. Mengi kuhusu Mustafa Haidi Mkulo. Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-10-17. Iliwekwa mnamo 2011-11-04.