Mutiu Adegoke ni beki mstaafu wa kandanda wa Nigeria[1] . Alichezea klabu mbalimbali zikiwemo ASEC Mimosas na FC Saint Eloi Lupopo kabla ya kurejea Nigeria kuchezea klabu ya Dolphins[2]. Pia alikuwa mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Nigeria, Super Eagles, na alirejea mwaka wa 2010 baada ya kukosekana kwa miaka mitatu.

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mutiu Adegoke kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.