Mutiu Adepoju
Mutiu Adepoju (alizaliwa 22 Desemba 1970) ni mwanasoka wa zamani wa Nigeria ambaye alicheza zaidi kama kiungo mshambuliaji.[1]
Ushiriki Katika Klabu
haririAdepoju ni Mzaliwa wa Ibadan, Adepoju (ambaye pia anaitwa kwa jina lake la kwanza nchini Uhispania) aliondoka Nigeria mnamo 1989 na kujiunga na klabu bingwa ya Real Madrid.[2][3]
Ushiriki Kimataifa
haririAdepoju alikuwa mwanachama wa timu ya Nigeria U20 iliyocheza katika Mashindano ya Dunia ya Vijana ya FIFA ya 1989. Mabao yake mawili dhidi ya Marekani katika nusu fainali ilihakikisha fainali dhidi ya Ureno, kushindwa 2-0.
Marejeo
hariri- ↑ "Mutiu, Adepoju Mutiu - Footballer". www.bdfutbol.com. Iliwekwa mnamo 2022-06-18.
- ↑ HISTORIA / Cap. 12 Descenso a 2ªB y ascenso a Primera (HISTORY / Ch. 12 Relegation to 2ªB and promotion to Primera); at Racing Santander
- ↑ Aquel ascenso inolvidable (That unforgettable promotion); , 29 June 2018
Viungo Vya Nje
hariri- Wasifu Wa Wachezaji Nigeria
- Mutiu Adepoju katika BDFutbol
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mutiu Adepoju kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |