Mwanza (Malawi) ni mji ulioko kusini mwa Malawi.

Bandari ya Mwanza Kusini mwa Malawi
Bandari ya Mwanza Kusini mwa Malawi

Mwaka 2018 ulikadiriwa kuwa na wakazi 18,039[1].

Tazama pia

hariri

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mwanza (Malawi) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.