Mwari

Jenasi ya ndege wakubwa wa maji walio na domo kubwa sana
Mwari
Mwari mweupe

Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Pelecaniformes (Ndege kama wari)
Familia: Pelecanidae (Ndege walio na mnasaba na wari)
Jenasi: Pelecanus
Linnaeus, 1758
Ngazi za chini

Spishi 8:

Wari (pia miari au wali) au wemdambize ni ndege wakubwa wa maji wa jenasi Pelecanus, jenasi pekee ya familia Pelecanidae, wenye domo kubwa na rangi nyeupe au kijivu. Ndege hawa huvua samaki kwa makundi. Domo lao la chini ni ngozi inayoweza kunyoka na kuumba mfuko ili kuuwekea samaki kwa kitambo. Jike huyataga mayai mawili ardhini au kwa tago la matete na matawi kati ya matete, juu ya mti mrefu au juu ya mwamba wa bahari.

Spishi za AfrikaEdit

Spishi za mabara mengineEdit

PichaEdit