Mwewe
Mwewe | ||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||
| ||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||
Nusufamilia 2, jenasi 8 |
Mwewe ni ndege mbuai wa nusufamilia Elaninae na Milvinae katika familia Accipitridae. Hawana sifa bainifu pamoja isipokuwa wengi wana mkia mwenye panda. Mabawa yao ni marefu na miguu yao haina nguvu kwa sababu yake ndege hawa huruka sana angani. Hukamata aina nyingi za mawindo, kama wanyama wadogo, ndege na wadudu wakubwa, lakini hula mizoga sana pia.
Spishi za Afrika
hariri- Chelictinia riocourii, Mwewe Kizelele (Scissor-tailed or African Swallow-tailed Kite)
- Elanus caeruleus, Mwewe Kipupwe (Black-winged Kite)
- Milvus aegyptius, Mwewe Domo-njano (Yellow-billed Kite)
- Milvus a. aegyptius, Mwewe Domo-njano Kaskazi (Northern Yellow-billed Kite)
- Milvus a. parasitus, Mwewe Domo-njano Kusi (Southern Yellow-billed Kite)
- Milvus migrans, Mwewe Domo-jeusi (Black-billed Kite)
- Milvus milvus, Mwewe Mwekundu (Red Kite)
- Milvus m. fasciicauda, Mwewe Mwekundu wa Kaboverde (Cape Verde Red Kite)
- Milvus m. milvus, Mwewe Mwekundu wa Ulaya (European Red Kite)
Spishi za mabara mengine
hariri- Elanus axillaris (Black-shouldered Kite)
- Elanus leucurus (White-tailed Kite)
- Elanus scriptus (Letter-winged Kite)
- Gampsonyx swainsonii (Pearl Kite)
- Haliastur indus (Brahminy Kite)
- Haliastur sphenurus (Whistling Kite)
- Harpagus bidentatus (Double-toothed Kite)
- Harpagus diodon (Rufous-thighed Kite)
- Helicolestes hamatus (Slender-billed Kite)
- Ictinia mississippiensis (Mississippi Kite)
- Ictinia plumbea (Plumbeous Kite)
- Milvus korshun (Chinese Kite)
- Milvus lineatus (Black-eared Kite)
Picha
hariri-
Mwewe kizelele
-
Mwewe kipupwe
-
Mwewe domo-njano
-
Mwewe domo-jeusi
-
Mwewe mwekundu
-
Black-shouldered kite
-
White-tailed kite
-
Letter-winged kite
-
Pearl kite
-
Brahminy kite
-
Whistling kite
-
Double-toothed kite
-
Rufous-thighed kite
-
Mississippi kite
-
Plumbeous kite