Mwiko ni chombo cha mti kilicho bapa na chenye mshikio,hutumika kwa kusongea, kukorogea na kupakulia chakula.Mara nyingi hutumika katika kupika ugali.

Viungo vya njeEdit

Mwiko na upishi wa ugali

  Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mwiko kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.