Mzimba ni mji ulioko kaskazini mwa Malawi.

Kituo cha Mabasi cha Mzimba
Kituo cha Mabasi cha Mzimba

Mwaka 2018 ulikadiriwa kuwa na wakazi 26,096[1].

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mzimba kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.