N.E.M.A, Kenya

chombo kikuu cha serikali katika utekelezaji wa sera zote zinazohusiana na mazingira.

NEMA ni shirika la serikali lililowajibika na usimamizi wa mazingira, na sera ya mazingira, nchini Kenya. Nema iko katika jiji la Nairobi.

Angalia Pia hariri

Viungo vya nje hariri

National Environmental Management Authority UNEP