Open main menu

Wikipedia β

NAACP Image Awards ni tuzo zinatolewa kila mwaka na American National Association for the Advancement of Colored People kutukuza au kutuza kazi zilizofanywa vyema na watu wa rangi tofauti katika filamu, televisheni, muziki, na fasihi.

NAACP Image Awards
Hutolewa kwa ajili ya Kufanya vizuri katika filamu, televisheni, muziki, na fasihi kwa watu wa rangi mchanganyiko
Hutolewa na NAACP
Nchi Marekani
Imeanza kutolewa mnamo 1970
Tovuti rasmi

Sawa tu na tuzo nyingine, kama vile Oscars na Grammys, kundi au jamii zote 35 za Image Awards huchaguliwa na wanachama wa NAACP. Pia kuna tuzo za vyeo au heshima kwa mtu fulani, ikiwa pamoja na Tuzo ya Rais, Tuzo ya Mwenyekiti, Mburudishaji wa Mwaka na The Image Award Hall of Fame.

Viungo vya NjeEdit

MarejeoEdit