Nadine Gordimer

Mwandishi kutokea nchi ya Afrika Kusini

Nadine Gordimer (20 Novemba 1923 - 13 Julai 2014) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Afrika Kusini. Hasa aliandika riwaya dhidi ya siasa ya ubaguzi wa rangi (yaani apartheid), na kuonyesha uharibifu katika maisha ya Waafrika. Mwaka wa 1991 alishinda Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Nadine Gordimer

Amezaliwa 20 Novemba 1923 (1923-11-20) (umri 100)
Afrika Kusini
Amekufa 13 July 2014
Nchi Afrika Kusini
Kazi yake Mwandishi
Ndoa Gerald Gavron (1949-?; waliwachana; mtoto 1)
Reinhold Cassirer (1954-2001; mtoto 1)

Angalia pia hariri

Marejeo hariri

  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nadine Gordimer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.