Nadjib Baouia

Mchezaji Wa Algeria

Nadjib Baouia (alizaliwa 25 Februari 1992) ni mwanasoka wa Algeria ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya Ufaransa ya Créteil.[1]

Nadjib Baouia

Ushiriki Katika Timu hariri

Nadjib ni Mzaliwa wa El M'Ghair, Algeria, Baouia alijiunga na safu ya vijana ya Evian mnamo 2011 kutoka klabu ya Caluire SC. Mnamo Machi 2013, alicheza mechi yake ya kwanza ya ligi kuu kama mbadala dhidi ya Reims katika raundi ya 30 ya msimu wa 2012-13 Ligue 1, akicheza dakika saba.

Marejeo hariri

Viungo Vya Nje hariri

  • Nadjib BaouiaNadjib Baouia - Takwimu za ligi ya Ufaransa huko LFP - zinapatikana pia kwa Kifaransa
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nadjib Baouia kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.