Nafasi ya mwanamke katika uongozi

Nafasi ya mwanamke katika uongozi ni madaraka ya uongozi waliyonayo wanawake ambayo huwapa mamlaka, ushawishi na uwajibikaji katika biashara au serikali. Katika historia, madaraka ya kijamii na kisiasa yaligawanywa katika jinsia tofauti, lakini yalikuwa yanakishikiliwa zaidi na wanaume kuwakandamiza wanawake. Baada ya usawa wa kijinsia kuongezeka, wanawake wamekua wakishikilia madaraka ya uongozi katika nyanja mbalimbali.[1]

Marejeo hariri

  1. Cockburn, C. (1991). In the way of women: Men's resistance to sex equality in organizations (No. 18). Cornell University Press.