Naftali Temu
Nabiba Naftali Temu (20 Aprili 1945 – 10 Machi 2003) alikuwa mwanariadha wa mbio ndefu wa Kenya ambaye alikua mshindi wa kwanza wa medali ya dhahabu wa Kenya aliposhinda mbio za mita 10,000 katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto ya mwaka 1968 huko Mexico City.[1]
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Naftali Temu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |