Nagoya (名古屋市, Nagoya-shi) ndiyo mji mkuu katika mkoa wa Aichi. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2010, mji una wakazi wapatao milioni 2.3 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 9 kutoka juu ya usawa wa bahari. Eneo lake ni 326.45 km².

Nagoya

Bendera
Nagoya is located in Japani
Nagoya
Nagoya
Mahali pa mji wa Nagoya katika Japani
Majiranukta: 35°11′00″N 136°54′00″E / 35.183333°N 136.9°E / 35.183333; 136.9
Nchi Japani
Kanda
Mkoa Aichi
Idadi ya wakazi
 - 2,258,804
Tovuti: http://www.city.nagoya.jp/
Mahali pa Nagoya katika Aichi na Japani

Viungo vya njeEdit

  • (Kijapani) (Kiingereza) (Kichina) (Kikorea) (Kihispania) (Kireno) (Kiitalia) {{[[Kigezo:{{{1}}}|{{{1}}}]]}} Tovuti
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Japani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nagoya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.