Naim Süleymanoğlu
Naim Süleymanoğlu (amezaliwa 23 Januari 1967) ni mwanamichezo katika kitengo cha uzani kutoka Uturuki.
Naim ana urefu wa mita 1 na sentimita 47 na alijipatia ushindi wake wa kwanza akiwa na umri wa miaka 15.
Alikuwa mshindi wa kimataifa mwaka 1985 akiwa na umri wa miaka 18. Naim alishinda katika michezo ya Olimpiki ya Atlanta mwaka 1992 na mwaka 1996.
katika mashindano ya kimataifa ya mwaka 1993 alijinyakulia medali tatu za dhahabu baada ya kuwaangusha washindani wenzake.
Katika mashindano ya Ulaya ya mwaka 1994 alivunja rekodi kwa kuchukua medali 3.
Naim aliangushwa na mwenziwe kutoka Ugiriki aliposhindwa 145.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Naim Süleymanoğlu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |