Nambachanya
(Elekezwa kutoka Namba chanya)
Nambachanya katika hisabati ni namba halisi ambayo ni kubwa kuliko namba sifuri (0).

Kinyume chake ni nambahasi. Kama nambachanya inawakilisha elekea kulia, nambahasi inamaanisha elekea kushoto. Kama nambachanya inawakilisha juu ya usawa wa bahari, basi nambhasi inawakilisha chini ya usawa wa bahari. Kama nambachanya inawakilisha kuweka, nambahasi inawakilisha kutoa.
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nambachanya kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |