Nambamchanganyiko (kwa Kiingereza: "Mixed numeral", "mixed fraction" au "mixed number") ni namba yenye mchanganyiko wa nambakamili (kwa mfano 7) na sehemu (kwa mfano 1/4). Hivyo 7 1/4 ni nambamchanganyiko.

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nambamchanganyiko kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.