Nampula

Nampula ni mji mkuu wa mkoa wa Nampula nchini Msumbiji. Idadi ya wakazi wake ni takriban 388.526.

Jumba la makumbusho la Nampula, lililopo katika mji wa Nampula ndani ya mkoa wa Nampula
Nampula
Nchi Msumbiji
Mkoa Nampula
Idadi ya wakazi (2005)
 - 388.526

Tazama piaEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Msumbiji bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nampula kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.