Narsisa wa Yesu (jina kamili la Kihispania: Narcisa de Jesús Martillo Morán; Nobol, Guayas, Ekwador, 29 Oktoba 1832 - Lima, Peru, 8 Desemba 1869, alikuwa bikira aliyejitosa katika maisha ya kiroho na utume vilevile[1][2][3].

Mt. Narsisa alivyochorwa.

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 25 Oktoba 1992 na Papa Benedikto XVI alimtangaza mtakatifu tarehe 12 Oktoba 2008. Ni mtu wa pili kutoka Ekwador kutangazwa mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa tarehe 8 Desemba[4].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. "Saint Narcisa de Jesús Martillo-Morán". Saints SQPN. 25 August 2015. Iliwekwa mnamo 1 April 2017.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. "Narcisa de Jesús Martillo Morán (1832–1869)". Holy See. Iliwekwa mnamo 1 April 2017.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. [www.santiebeati.it/dettaglio/92254]
  4. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.