Nasaba ya Qin

Nasaba ya Ch'in ilikuwa nasaba ya kifalme ya Uchina. Ilidumu kuanzia mwaka 221 KK hadi 206 KK. Nasaba hiyo ilikuwa na Makaisari wawili tu: Shih huang-ti, na Ehr-shih ti.

Nasaba ya Qin

Angalia piaEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nasaba ya Qin kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.